Usisubiri mpango kamili (perfect plan) kuweza kuanza jambo lako flani.Kama hakuna mtu kamili duniani huo mpango kamili atakuwa nao nani? Mpango kamili ni kuanza na kukubali kufanya makosa kadri itavyokuwa na kujifunza, huko unaweza kupata mpango kamili. Usiseme unasubiri, unachotakiwa kusubiri mafanikio baada ya kuanza na kukubali kujifunza kwa makosa uliyoyafanya.
Lazaro Samwel
Life Coach
0753616584
Email:lazarosamweli41@gmail.com
0 comments:
Post a Comment