Thursday, August 10, 2017

KAMA MFANYABIASHARA TAMBUA HILI

Related image


Kila biashara inahitaji uvumilivu katika nyakati za mwanzo kujenga msingi mzuri wa kuleta faida kwa baadae.Ukiwa na haraka ya kupata faida mwanzoni hauwezi kujenga msingi huo na hata kiwango cha pesa cha kufanya biashara yako iendelee kuwepo utaumaliza kabisa. Kuwa na subira katika biashara yoyote unayoanzisha na matunda utayaona kwa baadae.

Lazaro Samwel
Life Coach
Email ;lazarosamweli41@gmail.com

0 comments:

Post a Comment