Thursday, November 30, 2017

OFA YA MWEZI WA 12 KWA WATU 20 KUPATA KITABU CHA (NGUZO 3 ZA MAISHA)


Habari mwanamafanikio mwenzangu katika mtandao huu wa Lazaro Samwel naimani unaendelea vizuri na majukumu yako pamoja na kujifunza na kufanyia kazi mambo ambayo unayapata katika mtandao huu.

Leo hii nimekuletea habari njema kwa wewe ambae inawezekana ulikuwa unatamani sana kusoma kitabu cha NGUZO 3 ZA MAISHA lakini bei kwako ikawa kikwazo kidogo. Akili Ya ushindi Academy pamoja na mtandao huu wa Lazaro Samwel inakukaribisha kupata kitabu hikicha NGUZO 3 ZA MAISHA kwa punguzo la 30% nikimaanisha kitabu hili utakipata kwa 7000/= tuu sehemu yoyte ulipo na kama utataka  kusafirishiwa utatuma 10,000/= hii ni kwa wewe ambae umekuwa mfuatiliaji  au sio mfuatiliaji wa makala za mtandao huu pamoja na mtandao wetu mpya wa akili ya ushindi.

Ofa hii kwa watu 20 itaisha tarehe 8/12/2017 baada ya hapo bei itarudi palepale yani 10,000/=


Kuweza kupata kitabu hiko cha NGUZO 3 ZA MAISHA naomba upige namba hizi zifuatazo ili ufanyiwe utaratibu wa kutumiwa au kukichukua mahali popote ulipo.

Kocha Lazaro Samwel
0753616584/0653386586
Email; lazaro@akiliyaushindi.com

0 comments:

Post a Comment