Habari mpenzi msomaji wa mtandao wa mtandao wa LAZARO SAMWEL,naimani unaendelea vizuri na majukumu yako ya kawaida.Leo ningependa kukupa habari njema kwa wewe msomaji wa vitabu kuwa nimeweza kukuletea kitabu chenye misemo yangu 231 kutoka katika vitabu vyangu vyote ambavyo nimeviandika nikimaanisha NGUZO 3 ZA MAISHA,BIASHARA NA UJASIRIAMALI (AKILI YA USHINDI Toleo La 1) , SAFARI YA MAFANIKIO (AKILI YA USHINDI Toleo La 2) na MY VIRE ATTRACTS MY TRIBE.Kitabu hiki ni kifupi na mtu yoyote anaweza kukisoma bila kukichoka kila mara,ninauhakika utakapokipata kitabu hiki na ukaanza kukisoma lazima utapata mambo mengi sana ambayo inawezekana ulikuwa huyajua na ni lazima ufurahi kukisoma.Nimekuwekea misemo au nukuu za aina tofauti katika kitabu hiki,utakutana na misemo ya mambo ya ujasiriamali na biashara,mahusiano na hata maendeleo binafsi.
Lengo ni kuhakikisha kwamba wewe ambaye hujapata bahati ya kuweza kusoma kitabu mojawapo hapo juu upate picha kwa ufupi jinsi mambo yalivyo ndani ya vitabu hivyo.Kwa vitabu vingine vya AKILI YA USHINDI (Toleo La 1 na 2) hivi karibu na vitakuwa vichache sana.
Kitabu kitakuwa katika mfumo wa SOFT COPY na kinauzwa kwa 5000/= tu.Kwa wewe ambaye utakuwa unahitaji kitabu hiki unachotakiwa kufanya ni kufanya malipo katika namba hizi;
M-PESA; 0753616584
TIGO-PESA; 0653386586
AIRTEL-MONEY; 0683539684
JINA ; LAZARO SAMWEL NALINGIGWA
Baada ya kufanya malipo Tuma meseji kwenye mojawapo ya namba hapo juu ukiandika MISEMO huku ukiambatanisha na EMAIL yako nami nitakutumia kitabu chako mara moja.KARIBU SANA.

0 comments:
Post a Comment