Kuwaza kuhusu mapungufu yako ni kuongeza ukubwa wa mapungufu yako lakini ukifikiri juu ya mapungufu yako utatawala mapungufu yako. Wengi hatufikiri huwa tunawazia changamoto zetu na kuzigeuza kuwa shida na matatizo katika maisha yetu. Unapofikiri muda mwingi unawaza kuhusu nguvu iliyoko ndani yako kuweza kutatua changamoto ulizonazo lakini unapowaza kuhusu changamoto zako ndivyo unavyozidi kuonesha mapungufu yako kwenye changamoto zako. Acha kuwaza sana lakini anza tabia ya kufikiri.
Kama bado hujajiunga na program ya AKILI YA USHINDI bonyeza https://akiliyaushindi.com/ kuweza kupata maelezo zaidi.
Coach Lazaro Samwel
0753616584/0653386586
Email :lazarosamweli41@gmail.com
0 comments:
Post a Comment