It is highly involvement of your mind to think about your own life and leave other things aside at that moment.
Nimekuwekea Audio hii kwa wewe ambaye unapenda kufanya Meditation yani kukaa kimya huku ukiwa umetulia na simu yako mkononi pamoja na Earphone zako zikiwa masikioni huku ukijisemesha mwenyewe na kuwaza mambo ambayo yako chanya katika akili yako.Hizi audio zinasaida sana mtu kuweza kumbadilisha kiafya na hata kimtazamo wa akili yake.
Lazaro Samwel
Email ; lazarosamweli41@gmail.com
0 comments:
Post a Comment