
"Biashara ni kama kufuli lakini ubora wake na mafanikio yake huonekana pindi ufunguo husika Unapopatikana. Jaribu kufikiri mtu anayeng'ang'ania kufuli ambalo hana ufunguo wake inakuaje? Ni kupoteza Muda na kutokuishi katika ndoto zake." - Lazaro Samwel
"Kama huwezi kuifanya akili yako kuwa biashara utakuwa mtumwa kufanya biashara za wengine bila kujijua". - Lazaro Samwel
"Upendo ukitawala katika biashara yako mwenyewe ambayo unaitendea haa akili yako itakufanya kuwa biashara na utafurahia kila sehemu hata ukiambiwa uelezee unanufaika nayo hutaona aibu" - Lazaro Samwel
"Unapoambiwa mambo mazuri hayahitaji haraka sio kwasababu yanajileta yenyewe, hapana, ni kwasababu inakuchukua kujenga hatua moja baada ya ingine kutoka kwako kuweza kuyapata hayo mazuri,sio hatua mbili baada ya tatu. Mambo mazuri yanahitaji muda wa kupiga hatua moja sahihi baada ya ingine na kuweza kujiimarisha kwa zingine zijazo" - Lazaro Samwel
Unajenga biashara lakini ni kwa misingi ipi ambayo imekufanya kujenga biashara? Je ni misingi ya kupanda na kushuka kwa soko ndivyo ambavyo vimekufanya kuanzisha biashara yako kwa haraka kwa kwenda kuchukua mkopo ambao baada ya usambazaji na uhitaji wa bidhaa sokoni kufa unapata pressure na kuharibu maisha yako kabisa na familia yako? Nadhani bila shaka twajua kwamba watu wengi Duniani ambao tunasikia wamefanikiwa na ni matajiri ni kwasababu ya kufanya biashara na hili sasa imekuwa ni kama sehemu muhimu katika kubadili maisha yetu. Ushawahi kwanini idadi kubwa ya watu wanafanya biashara lakini bado maisha yao hayabadiliki au hata wewe umeshawi kujiuliza ni kwanini unafanya biashara lakini bado hufanikiwi au hufiki sehemu ambayo mwanzo unaanza biashara ulisema nitafika? Tatizo ni kwamba hatufanyi biashara zetu lakini tunasaidia wengine kufanya biashara zao. Yani biashara yoyote ambayo unaifanya na wala hauumizi kichwa jinsi ya kuiboresha au jinsi ya kuimarisha vizuri ila tu wewe ni kuangalia mwingine kafanya nini,jua kwamba hapo utakuwa unamfanyia yule anayewaza kuiboresha na kuimarisha biashara yake lakini wewe imemwiga. Na hapa ndo maana wengi hatufiki tunapotaka mwisho wa siku unaanza kutafuta waganga na hirizi nyingi kiunoni mwisho wa siku nyumbani sheria kibao.Mafanikio ya biashara hayaji kwa kufanya hivyo. Katika maandalizi ya kitabu changu kingine kunasehemu nasema kwamba biashara bila mauzo hiyo sio biashara, lakini haya mauzo hauwezi kuyafanya bila kujenga vitu hivi viwili
1. Mahusiano na Wateja
2. Uaminifu kwa wateja.
Mahusiano yako yatajenga uaminifu na wateja wako kukuletea wateja wengine wengi na ambao watakuamini zaidi ya wateja wa mara ya kwanza. Biashara ya kuiga haiwezi kuwa na mauzo kwasababu ya hayo mambo mawili hauwezi kuiga katika biashara na hata kama utaiga basi utapata kwa muda flani unachokitaka lakini baada ya hapo utakuwa tuu unashuhudia mwenzako leo kapanua duka lake kesho kanunia gari, mwaka unapita anakwambia najenga nyumba wewe bado hujashtuka kwamba mwenzako kajiganga mwenyewe kwenye akili yake. Kumbuka katika biashara yoyote wewe ni kama udongo na biashara yako ni mbegu ambayo inahitaji mazingira ambayo ikiwekwa lazima ichanue na iweze kuzalisha matunda mazuri sasa chukulia wewe unachukua mbegu ambayo ilikuwa inahitajika kuota kwa mwenzako unadhani itaota?? hapana mwenzako alikaa na kujua kwamba mbegu ambayo nahitaji ni ya aina flani wewe haukuwaza na wala haukutafakari ukachukua mbegu ya mwenzako unaweka kwako kila siku unamwagilia maji lakini hakuna kinachotoka, unachukua mikopo kibao kufanya lakini wapi,hausogei. Moja ya mtu kupata fursa ni kuhamisha kutoka kwa mwingine kitu anacho kifanya lakini lazima uweze kuipitisha hiyo fursa ambayo inaweza kuwa biashara katika kuifanyia ubunifu ( Creativity and Innovation) hapa ndo kujitafutia mbegu bora kama umechukua fursa sehemu ingine. mfano mwenzako anatengeneza juice ya matunda na kuweka sukari na anapata wateja wengi tuu sasa wewe usifanye kama yeye angalia baada ya kuweka sukari unaweza kuongeza kitu gani kingine kwamba mtu akiwaza kuhusu kununua juice awaze kuhusu wewe kwanza kabisaa? angalia wakina MAC JUICE wanachokifanya,kama ni kuuza chips unakuta mwenzako yeye akipika anaweka tuu karoti kwenye mayai na hoho kidogo na kuchanganya na viazi kupata chips mayai, sasa wewe ni kitu gani ambacho utakifanya kwamba mtu akitaka kula chips awaze kuhusu kuja kununua kwako? hapa ndipo utakuwa umepata mbegu sahihi katika kukufanikisha.Licha ya hivyo utajenga mahusiano mazuri na wateja wako na wataweka imani na huduma yako pia.
Mauzo katika biashara yako ni wewe mwenyewe na sio biashara yako, kuwa makini na upandaji wa mbegu ya biashara kwako. Usiogope kukaa miaka 2-5 kutafufa kitu sahihi kukifanya kuliko kufanya kitu ambacho kitakupotezea ramani ya iliyobaki katika maisha yako yote.
"If you can not trade with your mind you can never trade with your business" - Lazaro Samwel
"Any right business for you has a right code for your success" - Lazaro Samwel
By Lazaro Samwel
Email ; lazarosamweli41@gmail.com
Ni kitabu kizuri kinachoongeza maarifa, barikiwa sana
ReplyDeleteNi kitabu kizuri kinachoongeza maarifa, barikiwa sana
ReplyDeleteJe! Unahitaji mkopo wa haraka, mrefu au mfupi kwa kiwango cha riba cha chini
ReplyDeletechini ya 3%?
Gregowenloanfirm1@gmail.com
Tunatoa mkopo wa biashara:
Mkopo wa kibinafsi:
Mkopo wa nyumbani:
Mkopo wa Auto:
Mkopo wa mwanafunzi:
Mkopo wa kuimarisha madeni: e.t.c.
Haijalishi score.we yako ya mikopo ni uhakika katika kutoa nje
huduma za kifedha kwa wateja wetu wengi duniani kote.
Kwa vifurushi vyetu vya mikopo rahisi,
Mikopo inaweza kusindika na kuhamishiwa kwa mtu aliyepaa ndani
muda mfupi iwezekanavyo.
Ikiwa unahitaji kuwasiliana na mkopo haraka kupitia barua pepe:
gregowenloanfirm1@gmail.com
3% ya kuaminika mkopo kutoa uhakika.
Je! Unahitaji mkopo wa haraka, mrefu au mrefu kwa kiwango cha riba cha chini
ReplyDeletechini ya 3%?
Gregowenloanfirm1@gmail.com
Tunatoa mkopo wa biashara:
Mkopo wa kibinafsi:
Mkopo wa nyumbani:
Mkopo wa Auto:
Mkopo wa mwanafunzi:
Mkopo wa kuimarisha madeni: e.t.c.
Haijalishi score.we yako ya mikopo ni uhakika katika kutoa nje
huduma za kifedha kwa wateja wetu wengi duniani kote.
Kwa vifurushi vyenye mikopo rahisi,
Mikopo inaweza kusindika na kuhamishiwa kwa akopaye ndani
muda mfupi iwezekanavyo.
Ikiwa unahitaji kuwasiliana na mkopo haraka kupitia barua pepe:
gregowenloanfirm1@gmail.com
3% ya kuaminika mkopo kutoa uhakika.
Kupata mkopo wa halali daima imekuwa tatizo kubwa Kwa wateja ambao wana shida ya kifedha na wanahitaji ufumbuzi. Suala la mkopo na dhamana ni kitu ambacho wateja daima wana wasiwasi kuhusu wakati wa kutafuta mkopo kutoka kwa mkopeshaji halali. Lakini, tumefanya tofauti hiyo katika sekta ya mikopo. Tunaweza kupanga kwa mkopo kutoka kwa kiwango cha Euro 5,000. hadi Euro 500,000.000 chini ya riba ya 3% Kindly kujibu kwa barua pepe hii: Gregowenloanfirm1@gmail.com
ReplyDeleteHuduma zetu ni pamoja na zifuatazo:
1) Madeni ya Kuunganisha
2) Mortgage ya Pili
3) Mikopo ya Biashara
4) Mikopo ya kibinafsi
5) Mikopo ya Kimataifa
6) Mkopo kwa aina yoyote
7) Mkopo wa familia E.T.C
Hakuna usalama wa kijamii na hundi ya mikopo, 100% Dhamana. Wote unachotakiwa kufanya ni kutujulisha hasa unachotaka na tutafanya ndoto yako iwe kweli. GREG OWEN LOAN FIRM1 inasema Ndio wakati mabenki yako yanasema NO. Hatimaye, tunafadhili kampuni ndogo ya mkopo, wasimamizi, taasisi za fedha za wadogo kwa kuwa tuna mtaji usio na ukomo. Kwa maelezo zaidi kuhusu kwenda kupata mkopo kuwasiliana na sisi, Kindly kujibu mara moja.
Info ya Mawasiliano ya Kampuni
Anwani ya barua pepe: Gregowenloanfirm1@gmail.com
ReplyDeleteWe Facilitate Bank instruments SBLC for Lease and Purchase. Whether you are a new startup, medium or large establishment that needs a financial solution to fund/get your project off the ground or business looking for extra capital to expand your operation,our company renders credible and trusted bank guarantee provider who are willing to fund and give financing solutions that suits your specific business needs.
We help you secure and issue sblc and bank guarantee for your trade, projects and investment from top AA rated world Banks like HSBC, Barclays, Dutch Ing Bank, Llyods e.t.c because that is the best and safest strategy for our clients.e.t.c
DESCRIPTION OF INSTRUMENTS
1. Instrument: Funds backed Bank Guarantee(BG) ICC-600
2. Currency : USD/EURO
3. Age of Issue: Fresh Cut
4. Term: One year and One day
5. Contract Amount: United State Dollars/Euros (Buyers Face Value)
6. Price : Buy:32%+1, Lease: 4%+2
7. Subsequent tranches: To be mutually agreed between both parties
8. Issuing Bank: Top RATED world banks like HSBC, Barclays, ING Dutch Bank, Llyods e.t.c
9. Delivery Term: Pre advise MT199 or MT799 first. Followed By SWIFT MT760
10. Payment Term: MT799 & Settlement via MT103
11. Hard Copy: By Bank Bonded Courier
Interested Agents,Brokers, Investors and Individual proposing international project funding should contact us for directives.We will be glad to share our working procedures with you upon request.
Name: Muhammed Emir Harun
Contact Mail :info.financewizardltd@gmail.com
Skype: info.financewizardltd@gmail.com
Ahoj,
ReplyDeleteHľadáte podnikateľskú pôžičku, osobnú pôžičku, hypotéku, úver na auto, pôžičky, pôžičky na konsolidáciu dlhov, nezabezpečené úvery, rizikový kapitál atď. Alebo máte pôžičku od banky alebo finančná konfigurácia bola zamietnutá alebo viac dôvody, nie svoje úverové riešenia! Som slečna Roseová, súkromná veriteľka, ktorá poskytuje podnikom a jednotlivcom úvery za nízku a cenovú úrokovú sadzbu vo výške 2%. Máte záujem? Kontaktujte nás s cieľom zaobchádzať s úverom po prevode do 48 hodín. Kontakt: missroseloanfirm@hotmail.com
aplikácie
Názov:
Dátum narodenia:
Rod:
Rodinný stav:
adresa:
umiestnenia
Postavenie:
Poštové smerovacie číslo:
Krajina:
telefón:
E-mail:
Uveďte účel úveru:
Výška pôžičky:
Trvanie úveru:
Mesačný čistý príjem.
Späť k mne čo najskôr s vyššie uvedenými informáciami získate viac informácií.
Slečna Roseová
Greetings to you,
ReplyDeleteWe the FIRSTCOMMONWEALTH On-line Services offers secured & unsecured loan at a very low interest rate of %2.7. We offer Personal loans, Debt Consolidation Loan, Venture Capital, Business Loan, Education Loan, Home Loan or "Loan for any reason! Do you have bad credit? You can still apply.
Contact us today with your applications.Email: firstcommonwealthbk@aol.com
Admin Staff
Financial Business Leasing
whatsapp : +1 862-621-9274
Tel: +1 850-745-5201
FIRSTCOMMONWEALTH:
ReplyDeleteИмате ли нужда от финансиране, за да започнете собствен бизнес или да разширите бизнеса си, Имате ли нужда от средства, за да изплатите дълга си? Ние даваме заем на заинтересовани лица и фирми, които търсят заем с добра воля. Имате ли сериозно нужда от спешен заем, свържете се с нас. Имейл: firstcommonwealthbk@gmail.com
ПЪРВА КОМУНИКАЛНОСТ
whatsapp: +1 862-621-9274