Kitabu hichi ni muhimu sana katika maisha yako kuyabadilisha na kukufanya kuwa mpya.Hakikisha unakisoma na kukipakua katika simu yako kwa kubonyeza maandishi ya blue hapo juu kabisaa.
Pia kunahabari njema ambayo itakuja kuanzia wiki inayokuja kuhusu darasa ambalo litakuwa na full Package kubadilisha mtu kwenda sehemu nzuri ya maisha yake na kutakuwa na chansi ya kupata vitabu vingine vya Lazaro Samwel free kwenye application ,darasa hili litahitaji watu ambao wako serious na watu ambao wanajielewa wanataka kwenda wapi katika maisha yao.
Lazaro Samwel
0753616584 / 0653386586
Email ; lazarosamweli41@gmail.com

0 comments:
Post a Comment