
Akili Ya Ushindi Program ni mahususi
kwa kila Mtanzania bila kujali kabila,dini au rika kuhakikisha fikra zetu
zinabadilika kuona upande mwingine wa shilingi katika kuona fursa,kupata mawazo
mazuri ya biashara,kujua ni jinsi gani mtu anaweza kunufaika na biashara yake
haswa kwa kuongeza wateja na kuiweka bidhaa yake katika mwonekano ambao utakuwa
ni kitambulisho kikubwa cha biashara yake na yeye mwenyewe kwa ujumla.Program
hii ni kwaajili ya kila mmoja mwenye misingi hii 3 ;
1. Nidhamu.
Hapa ni kujiheshimu na kuheshimu
utakachopokea na utakachotoa kwa wenzako. Bila kusahau kuweza kuhakikisha
maarifa na mafunzo mengine ambayo unayapata unachukulia hatua na kushikisha
wengine mafanikio yako.
2.Juhudi.
Kujituma kusaidia wengine kwa
unachokipata katika program hii bila kusahau kuchukua kwa yale ambayo
unafundishwa au unayapata katika program hii.
3. Ushirikiano.
Msingi huu wa tatu ni pamoja na
members wa kundi hili kuishi kama kitu kimoja kwa upendo na kushirikishana
mambo ambayo yatazidi kutuweka pamoja na sio kutugawanisha.
🏆Kutakuwa
na vitabu viwili vya akili ya ushindi ambavyo
vitauzwa vyote kwa sh 26,000/= .AKILI YA USHINDI-Toleo la 1 (BIASHARA NA
UJASIRIAMALI) na AKILI YA USHINDI Toleo La 2 (SAFARI YA MAFANIKIO) kwa wewe
ambaye umekosa wazo la biashara,umekosa ajira, ambaye uko kwenye ajira na hujui
utatumiaje mshahara wako, ambaye bado hujajua kusudi lako au unataka kua
mjasiriamali lakini bado hujui unaanzaje, USIKOSE VITABU HIVI VYA (AKILI YA
USHINDI) kuanzia mwezi wa huu wa 10 kuanzia tarehe 20. Utakapopata kitabu hichi
utakuwa shuhuda wa maisha yako kubadilika na utakuwa nami kwa karibu.
Lazaro Samwel
A Life Coach
0753616584 / 0653386586
Blog;www.lazarosamwel.com
Email; lazarosamweli41@gmail.com
0 comments:
Post a Comment